Wouuuzer natamani hadi kulia daah Mungu mkubwa waliotuita underdog kiko wapiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwaambia watu mimi kua zahera ni kama masai sio wa kumdhamini, sasa cheki alivyowaachia shuka alafu yeye kasepa
Hongera sana
Hatuna cha kuwalipaHivi mbona simba wanatutendea mema hivi mashabiki hongereni sana wachezaji wetu pendwa
Happiness is a lifestyle
Kausha basi, usitunyanyapae aisee. Yanga timu kubwa sanaAfadhali aise kwa maana hiki kikosi cha laki na nusu (yanga) walituombea mabaya sana
Wee SHAFII DAUDA haujambo?karibuni kwa Live updates... Wengine pia mnaweza kuongezea
Kila la heri As vita Club
Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s