tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kama sisiKwa kweli sisi ni wa kimataifa hakunaga yaniiii
Happiness is a lifestyle
Aibu yako!
Simba itabaki kileleniiii
Rafiki nimekumiss[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wachawi sio lazima humkose, wanaroga tuAsalam Alaykum
Hiyo ndio AS Yanga Vita bwana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wouzeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji16] [emoji16] [emoji16] Nimekusifia sana mpaka simba wametia nyavu
Happiness is a lifestyle
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu huwa asikilizi sala za kinafiki, yani anakuona wewe ni Mtanzania kabisa halfu unaomba aibariki.... Nifah wewe ni wa mkoa to mkoa achana na wakimatifa
Happiness is a lifestyle
Ameibariki nchi yako sasa, vipi unataka umwambie Mungu kakosea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakojoaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ya muhimu ni ya AS vita ee, basi hapa ni double loss kwao bora wangewaza ya kwaoWanasema siyo mechi muhimu, ndiyo maana hata kocha hakwenda.