Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Bwana bwana bwana leo AS VITA kapata mchumbaMnyamaaaaaa habari zimfikie shabiki mkubwa wa kandambili Shadeeya kokote kule alipo kwenye usingizi wake mnono.
Haa
Mungu huwa asikilizi sala za kinafiki, yani anakuona wewe ni Mtanzania kabisa halfu unaomba aibariki.... Nifah wewe ni wa mkoa to mkoa achana na wakimatifaMungu ibariki AS Vita, Amen [emoji1488]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jirani yanguuuuu
Sijapata jamaniiiNimekutumia barua ya kuomba kazi, nimetumia EMS, umeipata barua yangu?[emoji3]
Nimependa maoni yako mama.Hongera sana Simba.
Happy happyNalia kwa furaha hapa kamanda