Hahahaaaa.....balaaaaPole sana kwa kububujikwa machozi ya furaha. Nani kama MNYAMA Tanzania!? HAKUNA!
Watu tupende vya kwetu!Mbona hamna tusi hapo mzeee... Mtandike lingine....
Hawa vyura sio wa kuwachekelea....
Zamaaaaaaaaaa
🤣🤣🤣[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]bila ya shaka ni tusi la nguoni likisindikizwa na msonyo mrefuuuuu
👏👏👏👏👏👏👏👍🏽Way to go Mkuu.
***** sasa kwa nini msijiite damuNyekundu ni rangi ya upendo pale penye kuhitaji faraja
Nyekundu ni rangi yenye maana ya hatari na ni hatari sana ikiwa nyumbani
Nyekundu ni rangi ya damu
Damu ndiyo isambazayo oksijeni ihitajikayo mwili
Ukikosa oksijeni hakuna maisha
Na ili uishi unahitaji damu nyekundu iliyo na oksijen kwa wingi ukikosa damu ya kutosha maisha huwa mashakani
Damu ni uhai
Utaipenda tu
This is simba
Wouzeeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Manabii walinena......
Hahaaaahaaa....hahaahaaaNimepiga woyoooo kum****e
Watu wote wakantolea macho
Hapa nimeenda bar ya jirani nitoea aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Us***nge kabisa!Sitak kuwan mnafiki kila la kheri mutu ya kongo. Simba tuliwapenda ila mutu ya Kongo imewapenda zaid inalilah wainalajun
Mwabheja gete gete
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Madam vitabu hautaki?Wouzeeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wewe basi kimoyomoyo ni mnyama damu hahhhh!
Nimepiga woyoooo kum****e
Watu wote wakantolea macho
Hapa nimeenda bar ya jirani nitoea aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiku umeingia vizuri kabisaaaaaaa...Sijui tukeshe jiraniMm je kwangu ndio kumekucha simba wamenipa rahaaaa
Hongera This is Simba bwanaaa (manara's voice)Wakuu leo nimelia machozi ya furaha, siamini.