Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Acha kupotosha Watu wewe, hv ingekuwa ni upendo hata wakati wa hatari barabarani wangeweka bendera nyekundu?

Au taa kuonesha wekundu kusimamisha gari ili kijani ndiyo iruhusu?
Nyekundu ni rangi ya upendo pale penye kuhitaji faraja

Nyekundu ni rangi yenye maana ya hatari na ni hatari sana ikiwa nyumbani

Nyekundu ni rangi ya damu

Damu ndiyo isambazayo oksijeni ihitajikayo mwili

Ukikosa oksijeni hakuna maisha

Na ili uishi unahitaji damu nyekundu iliyo na oksijen kwa wingi ukikosa damu ya kutosha maisha huwa mashakani

Damu ni uhai

Utaipenda tu

This is simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira mkubwa sana umepigwa leo na mnyama! Haina ubishi hasa dakika za "do or die"
 
Back
Top Bottom