Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Nyekundu ni rangi ya upendo pale penye kuhitaji faraja

Nyekundu ni rangi yenye maana ya hatari na ni hatari sana ikiwa nyumbani

Nyekundu ni rangi ya damu

Damu ndiyo isambazayo oksijeni ihitajikayo mwili

Ukikosa oksijeni hakuna maisha

Na ili uishi unahitaji damu nyekundu iliyo na oksijen kwa wingi ukikosa damu ya kutosha maisha huwa mashakani

Damu ni uhai

Utaipenda tu

This is simba
 
Inabidi mjiandae zaidi muendako ni kugumu zaidi ya hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
La kwanza, kila mtu hamtaki al ahly, huyo hatukutani nae.
Wengine walete. Tunachotakiwa ni kuboresha away record yetu tukifungwa tusiwe tunapigwa nyingi ili aggregate zitubebe.
Ila formula tumeijua, kila mtu ashinde kwake.
 
Pole sana kwa kububujikwa machozi ya furaha. Nani kama MNYAMA Tanzania!? HAKUNA!

Sijawahi kutoa machozi miaka kibao ila leo yanabubujika kama chemchem... Hakika sijawahi kujuta kuwa shabiki wa MNYAMA...

Mungu Ibariki SIMBA.... Mungu tubariki mashabiki wa SIMBA...
 
HONGERA WANA MSIMBAZI KWA USHINDI WA LEO......LOVE YOU SSC

1552760086363.png
 
Back
Top Bottom