Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Nakisubiri kwa hamuIn fact, a week or 5 days before tutapeana updates.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakisubiri kwa hamuIn fact, a week or 5 days before tutapeana updates.
Leo hata kugegeder nitagegeder at any cost..
Haaaaaaa mkuu umetishaaaa, kunywa nyingine nakuja kulipa
Hahahahahaha wametoa ofa ya kuagiza viazi ulaya,please wawahi ndo wanarudi kesho hahahaha!!!!Raha sana aisee watu wamefurahi kupita kiasi ila yale makandambili na roho zao mbaya kama nanihii yamenuna ile mbaya, yaone kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnyama anayeogopwaLeo nimegundua simba inawadau wengi sana hapa dar, mtaa mzima kelele za simba mpaka akina mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakisubiri kwa hamu
Mumeeeeeee!!!! Habari za masikuuuuu???Nadhani leo ile "biashara kongwe ya kuuza na kununua" itakuwa na wateja wengi, hata majumbani vitanda vyetu vitathibitisha kuwa mnyama kapiga mtu. Jitahidini na nyie mfungane 2-1[emoji125][emoji125][emoji39]
Nipooo... Kumbe bado nafasi yangu ipo, au ushindi wa wanamsimbazi ndio sababu [emoji39][emoji39]
UshamlipiaWe mwenye mkeka wa as vita ashinde 4-0 kunywa fulsana za hela yote nitalipa, permanides
Ipoooo wewe tu!!! Na imeboreshwa zaidi Kwa hisani ya Simba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nipooo... Kumbe bado nafasi yangu ipo, au ushindi wa wanamsimbazi ndio sababu [emoji39][emoji39]
Mambo Eve!!
Saivi nadhani makelele yameishaHii game tukishinda nitafurahi aisee, maana nimeandamwa na vyura huku mtaani.
Kila kona unasikia grrroooo, grrrooo! Machura yana makelele huku.