Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Raha sana aisee watu wamefurahi kupita kiasi ila yale makandambili na roho zao mbaya kama nanihii yamenuna ile mbaya, yaone kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahaha wametoa ofa ya kuagiza viazi ulaya,please wawahi ndo wanarudi kesho hahahaha!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Hapa pemben mwa nyumba nayoishi kuna kidimbwi na huwa nasikia kelele za vyura lakini leo kimya

Lakini waliofungwa si wakongo au Vyura wana uraia wa Congo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…