Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Umekua sasa Shadeeya .wengine hawajui kua mpira sio uadui, ila kwakweli nilishangazwa na wale mashabiki kutoka Kinshasa waliojitokeza kushangilia kwa nguvu sana pale Kazadi alipotupia goli lao pekee nikasema miongoni mwao wewe hukosekani paleπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Asante kwa pongezi na wewe pole kwa kupapaswa na Lipuli

Uhauri wa bure; UACHE KUHAMAHAMA TIMU
 
Wakati huo premier league inaitwa ligi daraja la kwanza. Kwenye mechi hiyo Yanga alimaliza uteja wa miaka mitano mfululizo. Kina Mohamed Kajole Machela, Mohamed Bakari Tall, Athumani Mambosasa, Nicodemus Njohole, Adam Sabu kwa upande wa Simba ndio walikua wanamalizamaliza soka lao huku kwa upande wa Yanga kina Amasha Ahmad, Yusuf Ismail Bana n.k ndio walikua wanaibuka na kikosi cha vijana cha Yanga kikawa kimekomaa kuchukua majukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…