Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikitoka hiyo Ni Stand United vs YangaSimba na Esperance, Yanga na Lipuli
Draw inaanza saa mbili ucku huyo punga wa yangaDaaah!! Tumeshatoka tayari?
Hicho NI kitanzi... Mmh waTunisia!!!!!!😳😳Raha sana,game ya kwanza nyumbani.
Ndo maana mnaitwa mkululuZahera amealikwa kwa draw.
Cc: Haji Manara
Timu za huko zilikuwa zipi mkuu?Du, siamini. Yaani katika hatua hii hakuna Senegali, Nigeria, Ivory coast wala Gana. Mmmmm Simba kumbe imo katika wakali.
Siyo Zahera huyu? Kkkkkkkkkkkkkkk
Droo ya champions league inapangwa saa mbili usiku na droo ya shirikisho inapangwa saa 3 usikuNaona akuna ata mutu mmoja anafahamu saa ngapi itanyika draw mara huyu saa tatu huyu saa mbili ndo tutoe nini sasa? Yani great thinker wote umu akuna anaye fahamu muda wa draw?
Draw saa 3 uhakikaNaona akuna ata mutu mmoja anafahamu saa ngapi itanyika draw mara huyu saa tatu huyu saa mbili ndo tutoe nini sasa? Yani great thinker wote umu akuna anaye fahamu muda wa draw?
Naomba link au kituo kitakacho onyesha live