OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Bado Kagere. Ninasali balaaa. Mungu wangu nakuomba baba wa mbinguni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale waliopewa kitoweo cha mbwa achana na wahehe banah, sisi ni kimataifa wale wenzetu ni wa regional to regional hahahah raha sana ShunieWouzeeerr wouzeeeerr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] baba paroko nani kanunaaaa
Matokeo ya iringa umewauliza?Hii game tukishinda nitafurahi aisee, maana nimeandamwa na vyura huku mtaani.
Kila kona unasikia grrroooo, grrrooo! Machura yana makelele huku.
Kagere anapiga chenga mpk mashabiki
Kwani simba unawaonaje, aisehh simba ni wa kimataifa eti wanaipeperusha vilivyo, hamuwezi kushika bendera nyie, unajua hata usipokubali ukweli hujitenga kama mafuta ya taa na maji
1-1 HT boss leo hata usiwe na presha game letu hiliJamani nipeni matokeo maana nimejificha sehemu.
Wapo panya wa msimbazi
Goalllllllllllllllll la 2 simba banah raha sana sisi ndiyo simba banah
Happiness is a lifestyle
Namba zinajiandika zenyewe,ngoja nisawazishe it is HT 1-1
WoyoooooooWoyoooooooooo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]