Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Haijalishi. 💃💃💃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijalishi. 💃💃💃
We ndo unajua hvyo sio jiwe ambaye anafikir chemistry inaendesha watu wte pekee"Urais ni taasisi"
Itachukua miakaBakini nazo tu wenyewe. Wananchi tunatosha kuichangia na timu ikasimama pia.
Halafu na nyie mnaona sifa kutembeza bakuli mnatia aibu kinomaHaijalishi. [emoji126][emoji126][emoji126]
Tupinge! Hapo sijui kama hampangwi na wale Costantiene ya Algeria kama sijakosea mbona mtakoma.
Wanaweza kumteka MO tena wakwapue hizo helaEbu muache Magu atakwapua hizi pesa bureView attachment 1047488
Halafu nyie Watani mbona tumeshabadili MADA sasa hapa ni habari za Simba na As Vita. 😎😎😎
Costantiene anaongoza group lao auTupinge! Hapo sijui kama hampangwi na wale Costantiene ya Algeria kama sijakosea mbona mtakoma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hajui mpira huyo. Akiongea atasema mlifungwa tano kisha tano tena, nyie mnafunga kamoja. Hamjalipa bado mnadaiwa goli nane. Na atamalizia kwa kusema na NA HUU NDIO UKWELI NA MSEMA UKWELI NI MPENZI WA MUNGU.
Atuachie Simba yetu, aje tukishamaliza kazi kwa sasa akae kimya tu.
Daah
Na Simba anavyozidi kufanya maajabu Mashabiki wa Yanga watakosa nguvu ya kuichangia timu yao
Hahahaaa. Hapana ni namba mbili kwenye group la Mazembe.
Simba atakutana Na anayeongoza groupHahahaaa. Hapana ni namba mbili kwenye group la Mazembe.
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]Simba hatutaki mpambe kudadeki mwanzo mlikuja na jeuri na ushangingi saizi hatutaki shobooo, wahehe wamewatandika hamna paku pozea maumivu mnataka mtie maguu simba, tushasema hatutaki mpambe
Sent using unknown device
Karibuni kwa mpambano huu wa kukata na shoka kati ya Simba vs As Vita Club utakaoanza muda mchache kutoka sasa....
Saa 1:00 usiku (Kwa mkapa)
Timu zote mbili zinahitaji matokeo ya ushindi ili ziweze kusonga mbele kwa hatua ya robo fainali
Msimamo wa kundi hili hadi sasa
1. JS Saoura Point 8
2. Al Ahly Point 7
3. As vita club Point 7
4. Simba point 6
View attachment 1047095
Takwimu za kipindi cha kwanzaView attachment 1047135
Takwimu za Full Time
View attachment 1047191
====
Klabu Bingwa Afrika: Klabu ya As Vita inapata goli la kuongoza dhidi ya Klabu ya #Simba katika mchezo unaochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar‬
‪- Goli limefungwa na Francy Kazadi mnamo dakika ya 13‬
‪- Anayeshinda katika mechi hii anasonga mbele katika hatua inayofuata‬
-----
Klabu Bingwa Afrika: Klabu ya #SimbaSC inasawazisha goli dhidi ya Klabu ya AS Vita kutoka Congo ndani ya dimba la Taifa jijini Dar‬
‪- Simba inapata goli la kusawazisha kupitia kwa Mohamed Hussein katika dakika ya 36‬
‪Simba SC 1 - 1 AS Vita‬
------
‪Klabu ya Simba SC kutoka Tanzania inapata goli la pili dhidi ya AS Vita kutoka Congo‬
‪- Goli linafungwa na Clatous Chama maarufu ‘Triple C’ katika dakika ya 90‬
‪- Ikumbukwe anayeshinda anafuzu hatua inayofuata‬
‪Simba SC 2 - 1 AS Vita‬
Msimamo wa kundi D
Al Ahly Points 10
Simba Points 9
Saoura Points 8
As vita club points 7
Al Ahly na Simba zinaenda robo fainali ya ligi ya mabingwa Africa 2019
Timu zilizofuzu hatua ya Robo fainali ni hizi hapa
Esperance Tunis ( TUNISIA)
Constantine ( ALGERIA)
Mazembe TP (CONGO DRC)
Horoya ( GUINEA)
Wydad Casablanca ( MOROCCO)
Al Ahly ( EGYPT)
Simba ( TANZANIA)
Mamelodi Sundowns ( SOUTH AFRICA)View attachment 1047220