Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
- #1,241
asante sana mtani wangu...kumbe najitahidiJose nakupendaga sana ujue ujue ukiweka thread za mpira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante sana mtani wangu...kumbe najitahidiJose nakupendaga sana ujue ujue ukiweka thread za mpira
alikosa goli la wazi kabisaDuh!
mkuu sema alukweli kutokana na tension ya ile mechi siku ile nilishindwa kutangaza kama ilivyozoeleka, ikabid niwe natoa updates kwa post moja mojaMkuu kuwa kama unatangaza kabisa itanoga kabisa
Happiness is a lifestyle
sawa mkuu mtani, aheri yako ambae umekamilika sio mchawiHuyu kiazi aliyeanzisha huu usi si yanga huyu mchawi kabisa huyu dogo
nextime zitaboreshwa zaidi usijali mtani
iliwasaidia kwa kiasi fulaniHii sub itawagharimu hakika
CC Zero IQ
sawa mtaniNamba zinajiandika zenyewe,ngoja nisawazishe it is HT 1-1
Happiness is a lifestyle
yeah ila robo fainali ni mtoano hamna cha ukusanyaji wa pointi...
ndio kama hizo na zinginezo ulizoziona
sawa mtani
doneNaomba kuongeza tu
dkk ya 10 AL AHLY 0 vs JS SAOURA 0
Sawa najua ushafahamu kwa kiasi Kikongomannextime zitaboreshwa zaidi usijali mtani
[emoji23]eti kwa tabumpaka muda huo ilikuwa 1-1
fulltime thimba alishinda kwa tabu 2-1
le tupwisa mazembe bana ba moise katumbi wanawasalimia
kwani uongo? game ilikuwa droo sema bas tu mkaotea
Huwa hamkosi cha kuongeakwani uongo? game ilikuwa droo sema bas tu mkaotea
ndio hivyo, mlichangamka dakika 10 za mwisho huo ni ukweli sio uwongoHuwa hamkosi cha kuongea
Mtani za MasikuHaya sasa jikite kwenye Ibada Mtani wangu angalau mpate wepesi.
Salama kabisa Mtani. Umemisika.