Ligi ya Mabingwa Afrika 2019/20 Simba SC dhidi ya UD do Songo, Yanga SC dhidi ya Township Rollers

Ligi ya Mabingwa Afrika 2019/20 Simba SC dhidi ya UD do Songo, Yanga SC dhidi ya Township Rollers

Mliwapigia mwingi halafu wakawapakata hapohapo kwa Mchina! Kwenye historia haiwezi kuandikwa hivyo. Historia inasema mlichezea kichapo nyumbani, full stop.

Na mwaka huu watafanya vilevile
Nini lakini Ses bana. Wacha kutuombea njaa basi.

Tunajipanga kufuta uteja na kuwatoa kabisa Ses. Hutaamini.
 
Mshabebwa sasa mnaanza kelele eeh Shadeeya !
Mtaanza kutolewa nyie huku sisi tukichanja mbuga, safari hii kama kuna brake kwa SSC basi ni nusu fainali

Si mnasemaga nyie daima mbele? Labda kwenye kutolewa. Mbele yenu nyuma yetu😎😎😎
Hahahaaaa. Hamnaga vitu ka hivyo kwamba mkiishia hatua fulani basi msimu ujao mtafikia zaidi ya pale. Duuuh.

Wacha nisubiri Shadeeya wa watu nione kama hii kauli yako itatimia Ses.
 
Magazeti yetu hayo! Eti, ni mchezo na timu moja tu, ikishinda, wanaingia makundi. Wakitolewa, wanakwenda shirikisho! Sijui huwa wanatoa wapi hizo habari!
Yaani walitamba sana siku hiyo kumbe habari ni za uzushi. Lol.

Swahiba brave one hivi sio wewe kweli ulituletea ule uzi kwamba mnacheza mechi moja tu na kuingia makundi? 😎
 
Back
Top Bottom