Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Magazeti yetu hayo! Eti, ni mchezo na timu moja tu, ikishinda, wanaingia makundi. Wakitolewa, wanakwenda shirikisho! Sijui huwa wanatoa wapi hizo habari!Mtani nauliza tu hivi baada ya hiyo mechi ndio mnakwenda makundi ama?
Nyie si ndio katika wale nane. Teh teh