Ligi ya Mabingwa Afrika 2019/20 Simba SC dhidi ya UD do Songo, Yanga SC dhidi ya Township Rollers

Ligi ya Mabingwa Afrika 2019/20 Simba SC dhidi ya UD do Songo, Yanga SC dhidi ya Township Rollers

Timu kigogo Simba kapangwa na timu ndogo Do Songo

Timu ngumu Township Rollers kapangwa na timu kibonde Yanga. Huu mlinganyo umeuelewa mtani Shadeeya ?
Tuliwapigia mwingi sana Taifa ila ndio haikuwa bahati yetu tu na hata ball possession inaonyesha Mtani.

Ila safari hii tutarekebisha makosa Mtani na hii kauli yenu ya kwamba sisi ni vibonde haitakuwepo tena
 
Kwahyo ñawewe uliamini mtaanza hvyo?

Umbūmbumbu mzigo
TFF na CAF hata juzi walitoa list ya timu 20 ambazo zilikuwa na nafasi ya kuanzia 32 bora; kila mtu alikuwa anajua hilo mpaka nyie viti maalum tuliowapa lift mlikuwa mnalijua hilo.

Tukutane viwanjani mnao mabwana zenu township ambao hamna istoria ya kuwafunga na hata mkivuka apo mtaishia mikononi mwa zesco mnarudi mlipozea mchangani
 
Tuliwapigia mwingi sana Taifa ila ndio haikuwa bahati yetu tu na hata ball possession inaonyesha Mtani.

Ila safari hii tutarekebisha makosa Mtani na hii kauli yenu ya kwamba sisi ni vibonde haitakuwepo tena
Mliwapigia mwingi halafu wakawapakata hapohapo kwa Mchina! Kwenye historia haiwezi kuandikwa hivyo. Historia inasema mlichezea kichapo nyumbani, full stop.

Na mwaka huu watafanya vilevile
 
TFF na CAF hata juzi walitoa list ya timu 20 ambazo zilikuwa na nafasi ya kuanzia 32 bora; kila mtu alikuwa anajua hilo mpaka nyie viti maalum tuliowapa lift mlikuwa mnalijua hilo.

Tukutane viwanjani mnao mabwana zenu township ambao hamna istoria ya kuwafunga na hata mkivuka apo mtaishia mikononi mwa zesco mnarudi mlipozea mchangani
Hakuna ganda la ndizi, waliofika kuanzia nusu fainali ndio weñye uhalali huo
 
Halafu wanajifanya kama hawalioni hili swali eti Mkuu. Watuambie tu tujue kulikoni mtoa lifti na mpewa lifti wote wanakaa sehemu moja?

3llyEmma itakuwa jibu unalo Mtani. 😂😂😂
Mshabebwa sasa mnaanza kelele eeh Shadeeya !
Mtaanza kutolewa nyie huku sisi tukichanja mbuga, safari hii kama kuna brake kwa SSC basi ni nusu fainali

Si mnasemaga nyie daima mbele? Labda kwenye kutolewa. Mbele yenu nyuma yetu😎😎😎
 
Back
Top Bottom