Ligi ya Mabingwa Afrika 2019/20 Simba SC dhidi ya UD do Songo, Yanga SC dhidi ya Township Rollers

Ligi ya Mabingwa Afrika 2019/20 Simba SC dhidi ya UD do Songo, Yanga SC dhidi ya Township Rollers

Kwa takwimu nilizozipata UD Songo siyo timu ya mchezo ingawa wengi wa wachezaji wake umri umesogea. Katika CAF Champion league 2018, hawa jamaa waliwafunga TP Mazembe 3-0 pale Msumbiji.





 
Iume wapi Mtani. Ila ndio muachage kuwa na akili kama za Manara sababu si ajabu wenzenu wengine hawaamini kilichotokea.
Imewapa tabasamu katikati ya maumivu makali yanayosababishwa na ukata klabuni!!

Hamia SIMBA!!

Mbona kingunge aliachanaga na ukingunge.
 
Nimecheka kwa sauti lol. Mtani hebu muache Baba Swalehe aje apumzishe akili kwenye timu ya wananchi.

Kwanza kule kwenu kunafuka moshi. 😜
Boss kashatulia sasa hivi;

Alafu Leo nikobize sana
Tupo matembezeni apa, usije ukasababisha nakawa fired kwenye wizara afya

IMG_20190722_102301_958.JPG
 
Back
Top Bottom