HPAUL
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 410
- 567
Kuna uwezekano mkubwa, wa Ligi ya mabingwa ya Afrika pamoja na Confederation Cup kutokamilika mwaka huu kutokana na gonjwa la COVID 19, hivyo mashindano hayo ya 2019/2020 kufutwa.
Wadau naomba mnifahimishe ikitokea mashindano hayo kufutwa. Je, Tanzania itawakilishwa na timu 4 msimu wa 2020/2021? Kwani nchi zilizopata pointi hivyo kuipiku Tanzania watapokwa pointi zao.
UPDATE:
Matumaini ya kumalizika kwa mashindano ya Africa club champions na CAF Confederation Cup ya msimu 2019/2020 sasa yamefifia kabisa, baada ya nchi ya Morocco kuongeza muda wa lockdown hadi August 8. Klabu nne za Morocco bado zimo katika michuano hiyo; Raja na Wydad katika Africa club champions na RS Berkane na Hassania Agadir katika CAF Confederation Cup. Vile vile sina uhakika kama Misri yenye timu 3 zilizobakia kwenye michuano hiyo imesha ruhusu shughuli za michezo. Michuano hiyo ilikuwa imefikia hatua ya nusu fainali ambapo timu 4 kwa kila kombe zilibaki. Africa club champions zilbaki timu mbili za Misri na timu mbili za Morroco; CAF Confederation Cup zilbaki timu moja ya Misri, timu mbili za Morroco na timu mmoja ya Guinea (Timu ya Makambo – Horoya). Kwa kawaida michuano hiyo ilipaswa kumalizika mwezi Mei, na msimu mpya wa 2020/2021 ulipaswa kuanza August 2020.