Ligi ya Mabingwa Afrika isipokamilika, Tanzania kuwakilishwa na na timu 4?

HPAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
410
Reaction score
567
Kuna uwezekano mkubwa, wa Ligi ya mabingwa ya Afrika pamoja na Confederation Cup kutokamilika mwaka huu kutokana na gonjwa la COVID 19, hivyo mashindano hayo ya 2019/2020 kufutwa.

Wadau naomba mnifahimishe ikitokea mashindano hayo kufutwa. Je, Tanzania itawakilishwa na timu 4 msimu wa 2020/2021? Kwani nchi zilizopata pointi hivyo kuipiku Tanzania watapokwa pointi zao.

UPDATE:
Matumaini ya kumalizika kwa mashindano ya Africa club champions na CAF Confederation Cup ya msimu 2019/2020 sasa yamefifia kabisa, baada ya nchi ya Morocco kuongeza muda wa lockdown hadi August 8. Klabu nne za Morocco bado zimo katika michuano hiyo; Raja na Wydad katika Africa club champions na RS Berkane na Hassania Agadir katika CAF Confederation Cup. Vile vile sina uhakika kama Misri yenye timu 3 zilizobakia kwenye michuano hiyo imesha ruhusu shughuli za michezo. Michuano hiyo ilikuwa imefikia hatua ya nusu fainali ambapo timu 4 kwa kila kombe zilibaki. Africa club champions zilbaki timu mbili za Misri na timu mbili za Morroco; CAF Confederation Cup zilbaki timu moja ya Misri, timu mbili za Morroco na timu mmoja ya Guinea (Timu ya Makambo – Horoya). Kwa kawaida michuano hiyo ilipaswa kumalizika mwezi Mei, na msimu mpya wa 2020/2021 ulipaswa kuanza August 2020.
 
Kama wmekiuka maadili Wa kuwashitaki ni waajiri wao na sio takukuru,swali muajiri amelalamika kuwa mtumishi wake hajafika kibaruwani? Kwa miaka mi5 hiyo ameshitakiwa malangapi kwa kosa la kutohudhuria kazi zake kwa wakati? Kama hakuna basi Kuna kutafuta Kiki,kuonea wanyonge ama kutengeneza mazingira ya Kula rushwa kutoka kwa hao waalimu
Ndugu yako mtakie mema tuu
[
 
Tuliwabeba msimu uliopita mkaleta nyodo sahivi mmeanza kuikumbuka mbeleko, jifunzeni kuwa shukrani nyie utopolo
Mlipaswa muwaombe watanzania radhi kwa kuabisha nchi, yaani bila kukalia 5 mlikuwa hamuamini mko uwanjani
 
Utopolo ilipokalia 5 kutoka kwa mnyama iliomba radhi kwa wanautopolo?

Back
Top Bottom