Ligi ya Mabingwa Afrika nchini eSwatin: Mbabane Swallows 0 - 4 Simba SC

Mikia leo wapata vibonde wanajipigia tuu!!
 
Mnacheza nao lini mkuu
Wabovu wamekutana hapo,tena hawa mbabane washukuru wanacheza na timu inayoshika nafasi ya 3 kwenye ligi yetu,ingekutana na inayoongoza ligi wangechezea hata 8 leo dadadek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…