Ligi ya Mabingwa Afrika nchini eSwatin: Mbabane Swallows 0 - 4 Simba SC

Ligi ya Mabingwa Afrika nchini eSwatin: Mbabane Swallows 0 - 4 Simba SC

Mechi mbili mabao 8 na Kocha Patrick Aussems, hajajikuna wala hajalia mbele ya Media

Alisikika mlevi mmoja hivi akizungumza[emoji23][emoji91][emoji23]
Halafu nafasi ya 3 kazidiwa point 11
 
Halafu nafasi ya 3 kazidiwa point 11
Tumeshamaliza kuwapa malofa wenzio dose stahiki huko eSwatini, tunakuja kuanza kuwashughulikia barabara nyie visokorokwinyo, mtakaa kimya tu.
 
Back
Top Bottom