MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Wajaribu wapate Dawa yaoYanga wanataka kumsajili golikipa wa Mbabane Swallows..Mbadala wa Beno Kakolanya [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajaribu wapate Dawa yaoYanga wanataka kumsajili golikipa wa Mbabane Swallows..Mbadala wa Beno Kakolanya [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196]
Tatizo lao wanafikiria mbabane swallows even though we have swallowed them ni Prison Tanzania au mwadui ya shinyanga.Maneno ya wakosaji
Ila huku anasubiriwa na Mbao FCMie mshambiki wa yanga. kusema ukweli simba mpo vizuri. kombe ni lenu mwaka huku kama mkicheza mulivyo cheza na babane.
Teh tehTatizo lao wanafikiria mbabane swallows even though we have swallowed them no Prison Tanzania au mwadui ya shinyanga.
Wabovu wamekutana hapo,tena hawa mbabane washukuru wanacheza na timu inayoshika nafasi ya 3 kwenye ligi yetu,ingekutana na inayoongoza ligi wangechezea hata 8 leo dadadek
Namna gani hapa Haji Manala anadamshi hapa
Yani rahaa ata nikilala na njaa, kila saa naiona simba mamaa.Dk 89 bado 4 kwa simba
Mkuu upo kibanda cha ngapi nowDakika 3 za nyongeza. Mbambane wanauwezo wa kupiga goli 12 watulie
Haaaaa haaaaa umeniibukia kama mzuka= Manara
Hakuna kitu kisichopendeza kama kuharibu jina (brand) ya mtu.
Bado cha 4 kilekile ni baada ya Yanga kuonyesha uzalendoMkuu upo kibanda cha ngapi now