Ligi ya Mabingwa Afrika nchini eSwatin: Mbabane Swallows 0 - 4 Simba SC

Kilichowakuta Mbabane:

Ni kama nakuibia mkeo naenda nae ghetto kwangu namgegeda unanifumania afu nakupiga, Mara ya pili unanifumania nyumbani kwako namgegeda mkeo nakupiga tena kipigo zaidi ya kile cha awali
 
Kwani mlivyokuwa mnabeba mabango yao eti ni Wazalendo wa Mbabane..Hamkujua hilo?

Achani kuteseka na Simba ili mpate afya, mtakufa bure[emoji23][emoji91][emoji196]
Mikia wamewafunga wachuma mapeasi..kelele mjini
 
Kwa habari za hivi punde huyo Chura..Anasikia baridi sana iliyoanzia Swaziland hadi Bwawani[emoji23][emoji196]

Hali yake mbaya kwa kweli..Hii Simba mbona balaaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…