Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Shikamoo mama faiza nimefurahi kukuona= Manara
Hakuna kitu kisichopendeza kama kuharibu jina (brand) ya mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo mama faiza nimefurahi kukuona= Manara
Hakuna kitu kisichopendeza kama kuharibu jina (brand) ya mtu.
Hoyeeeeeeeeeeeeeedk 90 Zimekamilika Simbaaaa hoyeeee
Kabisa mana leo sijasikia wakisema mashabiki wa Mbabane tukutane hapaBado cha 4 kilekile ni baada ya Yanga kuonyesha uzalendo
Amenikumbusha beki kitasa Victor Costa Nampoka Nyumba, ilikuwa ni kawaida yake kupiga dariz kama hizi.Nyoni anafanya vitu vya Ulaya
Kwa habari za hivi punde huyo Chura..Anasikia baridi sana iliyoanzia Swaziland hadi Bwawani[emoji23][emoji196]Hali yako inaendleaje
Mikia wamewafunga wachuma mapeasi..kelele mjini
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwa habari za hivi punde huyo Chura..Anasikia baridi sana iliyoanzia Swaziland hadi Bwawani[emoji23][emoji196]
Hali yake mbaya kwa kweli..Hii Simba mbona balaaa
Wa matopeni wa matopeni tuuu...mbute mbute waliko wanaliaaWa kimataifa wa kimataifa tu [emoji91][emoji91][emoji91]
Wabovu wamekutana hapo,tena hawa mbabane washukuru wanacheza na timu inayoshika nafasi ya 3 kwenye ligi yetu,ingekutana na inayoongoza ligi wangechezea hata 8 leo dadadek
KafwaaaHali yako inaendleaje
Yule mtoto nilimwambia akabisha tukabet ngoja niende KCMC nikamsaliti wife nishaitwa.
Uamini km mikia mmecheza na wabovu!Jipe moyooo.....hahaaaa
Uamini km mikia mmecheza na wabovu!