kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,521
- 2,747
Tuliwaambia mapema kabisa, nasikia huko waliko wanatema mate kushoto na kufukia kulia kama mama mjamzito.Vyura siku mbaya kwao leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliwaambia mapema kabisa, nasikia huko waliko wanatema mate kushoto na kufukia kulia kama mama mjamzito.Vyura siku mbaya kwao leo
Kama ukitazama mpira bila kuangalia majina ya timu,unaweza kudhani ni Man cityVip mnaoangalia mnyama anaugusa?
wanzngua kinoma yahn hata statistics hawajaweka hawa jamaa wapuuzi sana hafu ni wote sio mmoja yahn.Wanabagua sana michezo ya Africa. Zingekua timu za ulaya hata daraja la 8 matokeo yao yanawekwa saa hio hio.
Wapuuzi sana
Unaweza kuwa na wasiwasi wa kitu chochote kile lakini sio kiwango cha Clotus Chota Chama, huyu jamaa kaja kuwaburudisha watanzania, ni starehe ya watanzania.Simbaaaaaaa
Hahaha leo Ghazwat yu wapiSasa nahamia kibanda kingine,raha tupu
Sasa nahamia kibanda kingine,raha tupu
Hahaha Mkuu we unahama vibanda tuSasa nahamia kibanda kingine,raha tupu
Kama ukitazama mpira bila kuangalia majina ya timu,unaweza kudhani ni Man city
Leo sion Dk zanyongeza
Kwani simba wanacheza na yanga huko kwa mswati?Kwa ambao hawajapata matokeo huko Eswatini, Simba 2 yanga 0
Mkuu nmeangalia hapo zimamoto kamuua kaizerchief!?sio live score,flashscore wala sofascore wote wababaishaji zimepita mpka muda huu wansema hakuna goli et.View attachment 955895View attachment 955897View attachment 955898
Mi nachungulia huu uzi kama guest.Yanga wamejifungia majumbani, hata haina raha kwenye vibanda hakuna wa kuwazomea.