Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Mbabane Swallows are getting swallowed at their own grown.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghazwat come on MnyamaHahaha leo Ghazwat yu wapi
Mi nachungulia huu uzi kama guest.
Hongeren simba
Mbona mna mwita sana, kunani huku?Ghazwat come on Mnyama
Mm mwanasimba kabla Huja jua kujivisha Kaptula weweWewe utaitia mikosi timu yetu shangilia vyura
Komaeni huko mchukue kombe, nyumbani hamnacho chenu msimu huu.Asante ndugu, wanasema mambo ni kwa zamu.
Nipo hapa mkuu. Hujasikia pongezi zangu au masikio yamezibwa na furaha mkuu?
Komaeni huko mchukue kombe, nyumbani hamnacho chenu msimu huu.
Simba msimu huu lazima mtukabidhi kombe letu.Tumewatanguliza tu, soon tutaanza kufanya yetu.
Mbabane ni vibonde au nyie mnabahati?Basi sawa ndugu yangu DAFU NA NDIMU, nimeshamaliza kazi huko, ngoja nirudi nyumbani kuja kiwashighulikia kwenye TPL.
Chama sijui Chadema au CCM...Huyu Chama huyu