Ligi ya Mabingwa Afrika nchini eSwatin: Mbabane Swallows 0 - 4 Simba SC

Ligi ya Mabingwa Afrika nchini eSwatin: Mbabane Swallows 0 - 4 Simba SC

1543925018184.png
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mbinu za kuwafunga kisaikolojia,hawa jamaa ni wahuni,washenzi na wanyama sana,Watanzania tusiwe na short memories je tunakumbuka Azam FC walivyofanyiwa pale Uswati?kuna watanzania walipigwa na kuumizwa,wachezaji wa Azam FC walifanyiwa vitendo visivyo vya kimichezo na kucheza ile game na wasiwasi;its time now na sisi twende jino kwa jino tunawakaribisha kiungwana kabisa ila kwao wanageuka na kuwa wanyama,we as Tanzanians tumejinyima mno na kuonyesha ukarimu kwa watu hawa wa kusini ila wao they are treating as very badly.
 
Ss mashabiki wa simba hatuko active ktk nyuzi yetu hata walioenda kule ni member jf lakn hawatatupia chochote humu.
 
Simba hawezi kufungwa hii mechi hawa jamaa hawana mipango kbs
 
Back
Top Bottom