Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnafarakana mapema sanaHahahaha unaona lkn ilisaidia watu akili kuwakaa sawa?
Yanga sio ya kispot spot
Simba 3Sisi 2 wao 0
@ShunieOkwiiiiiiiiiiii, msumari wa tatu
Okwiiiiiiiiii
Huyu atakuwa CHADEMA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaaaa yaaniUkiwa Simba Presha utaisikia kwa jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji52]
Mm mwanasimba kabla Huja jua kujivisha Kaptula wewe
Watamkoma Leo manara!!!Simpatii picha manara
Hakuna hyo kituuu!!!