Kagereeeeeeeeee kumanina
Simba 4 Yanga 1
Mtangazaji anakuambia anawaona mashabiki wengi sana wa Mbabane wamesafiri na team kutoka Eswatini lakini wengi sura zao sio ngeni ndani ya viunga vya jiji la Dar [emoji23][emoji23]
Ina maana hamna ata kelele za vyura wakati kuna bwawa hapo?
Ata mimi nimepata taarifa hizo mkuu, kwasababu ya mafuta ya taa aliyomwaga vyura wote wamekufa kwa kukosa hewa.Nasikia tripple C amepita hapo kamwaga mafuta ya taa kwenye Hilo dimbwi