Ligi ya Mabingwa Afrika: Simba SC 4-1 Mbabane Swallows

Ligi ya Mabingwa Afrika: Simba SC 4-1 Mbabane Swallows

Kipa Manula ana haja ya kupumzishwa mechi nyingine, mechi zote za Timu ya Taifa na Simba kipa ni yeye tu.
Ivi hakuna makipa wengine ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtangazaji anakuambia anawaona mashabiki wengi sana wa Mbabane wamesafiri na team kutoka Eswatini lakini wengi sura zao sio ngeni ndani ya viunga vya jiji la Dar [emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Bwawa limekauka unacheza na ukame. Wamepiga magoti haijasaidia.Chura wapo jangwani wanaweweseka.
 
Nasikia tripple C amepita hapo kamwaga mafuta ya taa kwenye Hilo dimbwi
Ata mimi nimepata taarifa hizo mkuu, kwasababu ya mafuta ya taa aliyomwaga vyura wote wamekufa kwa kukosa hewa.
 
Back
Top Bottom