Ligi ya Mabingwa Afrika: Simba SC 4-1 Mbabane Swallows

Kwa heshima kubwa kabisa Leo simba inaanza safari ya kimataifa na inaanza na timu kutoka uswetu

Nipo Taifa tayari kwa kuwaletea mpambano huu live

Tayari watu wameshajaa nje ya uwanja hamasa Ni kubwa Jezi zinauzika sana za simba

Kuna foleni kwa magari yanayotoka gerezani ila km kama unapitia mwembe yanga utafika bila usumbufu

Mechi itaanza saa kumi kamili jioni 16:00 kwa saaa za Afrikaans masharik I

14:15 Gari yenye wachezaji wa simba tayari yaingia uwanjani moja kwa moja kwenye dressing room

15:15 timu zote zimeingia uwanjani kufanya warm up

15:55 timu zinaingia uwanjani

Tajiri wa simba SC MO dewj anapewa heshima na mashabiki wa simba SC

dkk 10 boko.......... Simba anaandika goli la kwanza kupitia boko

dkk 14 swalos wanasawazisha

LA pili boko Tena kwa mkwaju wa penalty

Wakuu vitendea kazi vimeisha moto endelezeeni uzi
Hawa jamaa Simba wasiposhinda zaidi ya goals 4,na kutoruhusu goal lingine wanaweza kushindwa kuwatoa,wapo vizuri sana
 
Hii game kiusalama zaidi inatakiwa simba ashinde kwa goli nyingi nyumbani, akienda ugenini asiwe na kazi kubwa kwasababu inaonyesha jamaa wana mipango sana, na kwao inaweza kuwa kazi ngumu sana kupata matokeo.
 
Bila goals 4 na kutoruhusu goal lingine watabaki Bongo
 
Kwa heshima kubwa kabisa Leo simba inaanza safari ya kimataifa na inaanza na timu kutoka uswetu

Nipo Taifa tayari kwa kuwaletea mpambano huu live

Tayari watu wameshajaa nje ya uwanja hamasa Ni kubwa Jezi zinauzika sana za simba

Kuna foleni kwa magari yanayotoka gerezani ila km kama unapitia mwembe yanga utafika bila usumbufu

Mechi itaanza saa kumi kamili jioni 16:00 kwa saaa za Afrikaans masharik I

14:15 Gari yenye wachezaji wa simba tayari yaingia uwanjani moja kwa moja kwenye dressing room

15:15 timu zote zimeingia uwanjani kufanya warm up

15:55 timu zinaingia uwanjani

Tajiri wa simba SC MO dewj anapewa heshima na mashabiki wa simba SC

dkk 10 boko.......... Simba anaandika goli la kwanza kupitia boko

dkk 14 swalos wanasawazisha

LA pili boko Tena kwa mkwaju wa penalty

Wakuu vitendea kazi vimeisha moto endelezeeni uzi
Una anzishaje uzi wakati unajua Tecno yako ina 3%?
 
Woyooooooo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] this is simba bana
 
Back
Top Bottom