OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hapa kuna goli nyingi kina Okwi kuweni watulivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio la KindokiGoli la Manura hili,anatoka bila sababu
Hii game inatakiwa tuimalize hapa nyumbani mkuu, uwezo na nafasi ya kufanya hivyo leo tunayo.Hapa kuna goli nyingi kina Okwi kuweni watulivu
Sahau,wanapigwa zaidi ya 4Mbambane Swallows kwa hilo la ugenini, they are through! Game over.
Huyu jamaa kwenye soka la kibongo bongo yupo sayari nyingine kabisa anayoijua yeye, he is too classic.Chamaaaaaaaaaaaa. Daaah
Hawa jamaa Simba wasiposhinda zaidi ya goals 4,na kutoruhusu goal lingine wanaweza kushindwa kuwatoa,wapo vizuri sanaKwa heshima kubwa kabisa Leo simba inaanza safari ya kimataifa na inaanza na timu kutoka uswetu
Nipo Taifa tayari kwa kuwaletea mpambano huu live
Tayari watu wameshajaa nje ya uwanja hamasa Ni kubwa Jezi zinauzika sana za simba
Kuna foleni kwa magari yanayotoka gerezani ila km kama unapitia mwembe yanga utafika bila usumbufu
Mechi itaanza saa kumi kamili jioni 16:00 kwa saaa za Afrikaans masharik I
14:15 Gari yenye wachezaji wa simba tayari yaingia uwanjani moja kwa moja kwenye dressing room
15:15 timu zote zimeingia uwanjani kufanya warm up
15:55 timu zinaingia uwanjani
Tajiri wa simba SC MO dewj anapewa heshima na mashabiki wa simba SC
dkk 10 boko.......... Simba anaandika goli la kwanza kupitia boko
dkk 14 swalos wanasawazisha
LA pili boko Tena kwa mkwaju wa penalty
Wakuu vitendea kazi vimeisha moto endelezeeni uzi
Hii game kiusalama zaidi inatakiwa simba ashinde kwa goli nyingi nyumbani, akienda ugenini asiwe na kazi kubwa kwasababu inaonyesha jamaa wana mipango sana, na kwao inaweza kuwa kazi ngumu sana kupata matokeo.Hawa jamaa Simba wasiposhinda zaidi ya goals 4,na kutoruhusu goal lingine wanaweza kushindwa kuwatoa,wapo vizuri sana
Bila goals 4 na kutoruhusu goal lingine watabaki BongoHii game kiusalama zaidi inatakiwa simba ashinde kwa goli nyingi nyumbani, akienda ugenini asiwe na kazi kubwa kwasababu inaonyesha jamaa wana mipango sana, na kwao inaweza kuwa kazi ngumu sana kupata matokeo.
Una anzishaje uzi wakati unajua Tecno yako ina 3%?Kwa heshima kubwa kabisa Leo simba inaanza safari ya kimataifa na inaanza na timu kutoka uswetu
Nipo Taifa tayari kwa kuwaletea mpambano huu live
Tayari watu wameshajaa nje ya uwanja hamasa Ni kubwa Jezi zinauzika sana za simba
Kuna foleni kwa magari yanayotoka gerezani ila km kama unapitia mwembe yanga utafika bila usumbufu
Mechi itaanza saa kumi kamili jioni 16:00 kwa saaa za Afrikaans masharik I
14:15 Gari yenye wachezaji wa simba tayari yaingia uwanjani moja kwa moja kwenye dressing room
15:15 timu zote zimeingia uwanjani kufanya warm up
15:55 timu zinaingia uwanjani
Tajiri wa simba SC MO dewj anapewa heshima na mashabiki wa simba SC
dkk 10 boko.......... Simba anaandika goli la kwanza kupitia boko
dkk 14 swalos wanasawazisha
LA pili boko Tena kwa mkwaju wa penalty
Wakuu vitendea kazi vimeisha moto endelezeeni uzi
Sanaaaaaaa zaidi ya rahaaaaKushabikia Simba raha sana