Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
kuna watu wanateseka mitaa ya JANGWANI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameteseka dakika za mwisho kinoma [emoji23][emoji23]Kagereeeeeeeeee kumanina
Nilikwambia nitakutafuta Dk 90 pole sana MkuuAll the best Mbabane Swallow fc, wakate Mikia hao Mikia fc wakafie mbali.
Haaaaaaa haaaaaaMtangazaji anakuambia anawaona mashabiki wengi sana wa Mbabane wamesafiri na team kutoka Eswatini lakini wengi sura zao sio ngeni ndani ya viunga vya jiji la Dar [emoji23][emoji23]
Sababu ya kuteseka ni ipi..?kuna watu wanateseka mitaa ya JANGWANI
Wouzeeeeerrrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] shikamoo chama
Naona kabla ya mpira kuisha walishafika uwanja wa ndege[emoji23]Mtangazaji anakuambia anawaona mashabiki wengi sana wa Mbabane wamesafiri na team kutoka Eswatini lakini wengi sura zao sio ngeni ndani ya viunga vya jiji la Dar [emoji23][emoji23]
Mfikishie salaam zangu kuna makiss yanamsubiri ukuMarahaba mkuu(kwaniaba yake)