Ligi ya Mabingwa Afrika: Simba SC 4-1 Mbabane Swallows

Ligi ya Mabingwa Afrika: Simba SC 4-1 Mbabane Swallows

Ajabu kapigwa punda wa nyuma lakini anaelia ni punda wa mbele. Kafungwa Mbabane lakini anayelia na kuweweseka ni chura.
Anayeshuhulikiwa yupo kitandani wewe unakata kiuno dirishani ajabu.
Duuh
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ajabu kapigwa punda wa nyuma lakini anaelia ni punda wa mbele. Kafungwa Mbabane lakini anayelia na kuweweseka ni chura.
Anayeshuhulikiwa yupo kitandani wewe unakata kiuno dirishani ajabu.
Mkuu, hii staili ya mnyama ilikuwa inatumiwa sana na bruce lee. Anapiga wa mbele ila anayeumia ni wa nyima au anakupiga leo ila kesho ndio panauna. Ndala wanaumia sana.
 
Betting Imetesa Watu
Simba Ile Kule Mbali Kabisa
 
Aisee... Sasa nafuta sala zangu... Mpigwe goli 2... Na iwe FT SIMBA 0 - 2 MBBNE ...

Ewe mungu baba, mueza juu kila kitu, usiyeshindwa jambo lolote mbele yako, baba muumba mbingu na ardhi, na kila vilivyomo kwenye ulimwengu huu...
Nina ombi moja kwako leo baba... Baba naomba ujaalie timu ya simba ifungwe goli mbili tu wala sio yingi baba...
Baba hawa simba wanajikuta wao ni Barcelona ya Tanzania... Kumbe hawana lolote la maana... Timu imejaa wazee waongo wanaodanganya umri wao.. baba jaalia kabisa na wafungwe mechi ya marudiano...
Baba naamini umesikia ombi langu baba... Hakika wewe ni msikivu mwenye kujibu shida za wanyonge...

Aaamiiin
Dua imekataliwa kwa kua imejaaa unaafikiii
 
Leo chama langu Ni yechu yechu, John bocco kapiga dasi ya fuasi , kagere na triple c Ni full ile laana. Japo masnitch wale walikua hata mauzalendo wamedash lakini dingii mnyama ameonesha unyama
 
Ajabu kapigwa punda wa nyuma lakini anaelia ni punda wa mbele. Kafungwa Mbabane lakini anayelia na kuweweseka ni chura.
Anayeshuhulikiwa yupo kitandani wewe unakata kiuno dirishani ajabu.
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Wanajifanya wanaumiaaaaaa....
 
Kuna kila sababu za kumpeleka CHOTA CHAMA Ulaya hata kwa nguvu, huku bongo anapoteza muda tu.
Jamaa anajua hadi kivuli chake kinapiga chenga.. Ni balaa
Alienda Misri ameshindwa huku si jalalani ndio maana anaonekana mzuri
 
Back
Top Bottom