Nafikiri hapo kwenye sentence ya mwisho tumepatekeleza kwa 95%.hawa mbambane last year waliwatoa azam hivyo maandalizi ya mapema ni muhimu,na ushindi mkubwa ukiwa nyumbani ni wa muhimu.
Nimepita pale Kaunda imejazwa kifusihivi zile kelele za sisi ni wa kimataifa zimeishia wapi
eti hapo jangwani nawauliza
Mtaa wa pili kuna msiba mzito mkuu, ila tuliwaambia tangu jana simba huwa anawinda mwenyewe, akihitaji msaada pengine ni kutoka kwenye kundi la simba wenzie, leo tumewinda na kutafuna mpaka mifupa ya mbabane swallows peke yetu.Asanteni kwa kuwa Wazalendo wa Mbabane..Haya nendeni mkagawane hayo magoli..Vyura nyie[emoji3][emoji196][emoji3][emoji196]
kabisaaa makamboooo kindokiii shipimbi na mtoto feisalHaa haa..Vyura kwa hisani ya 4 Wakagawane
ni kweli hata Kaizer chief ya South ni minority kwa zimamoto ya zenjiKwa kuanzia home maana yake Simba minority kwa Mbabane Swallow!!! Povu rukhsa
Huyu Mnyama Kashindikana.. Asante sana Simba SC.
Nukuu yangu mapema leo, #4G [emoji120][emoji120][emoji1690]Mnyama piga hao 4G tuanze weekend mapema kwa shangwe.
Hahaha, sawa mkuu nita ufanyia kazi ushauri wako.Kabisa, acha kazi ulionayo ili ujikite kwenye utabiri utapiga hela mkuu
Akikujibu hili uniite mkuuni kweli hata Kaizer chief ya South ni minority kwa zimamoto ya zenji