Ligi ya Mabingwa Afrika: Simba SC kung'atana na Mbabane Swallows ya Swaziland

Ligi ya Mabingwa Afrika: Simba SC kung'atana na Mbabane Swallows ya Swaziland

Punda wa nyuma kapigwa mijeledi ajabu anaelia ni punda wa mbele. Anayeshughulikiwa yupo kitandani chura yupo dirishani anakata viuno.
 
Asanteni kwa kuwa Wazalendo wa Mbabane..Haya nendeni mkagawane hayo magoli..Vyura nyie[emoji3][emoji196][emoji3][emoji196]
Mtaa wa pili kuna msiba mzito mkuu, ila tuliwaambia tangu jana simba huwa anawinda mwenyewe, akihitaji msaada pengine ni kutoka kwenye kundi la simba wenzie, leo tumewinda na kutafuna mpaka mifupa ya mbabane swallows peke yetu.
 
This Is Simba..Tumeanza vizuri sana
IMG_20181128_191218_799.jpeg
 
Back
Top Bottom