Ligi ya Mabingwa Afrika: Simba yapewa Mwarabu (Al Ahly) na Mcongo (As Vita Club)

Ligi ya Mabingwa Afrika: Simba yapewa Mwarabu (Al Ahly) na Mcongo (As Vita Club)

Hesabu za figisu za kuwapulizia sumu vyumbani,mpira wa kucheza nje ya uwanja umebaki kwa nyau fc hapa duniani,juzi kwa ujinga wenu mkaingiza hadi mipaka uwanjani,imagine msimu ujao iwapo mtashiriki michuano ya caf halafu mkapangiwa wale wazimbabwe kule kwao lazima walipize yote mliyowafanyia na iko ndio kitawakuta kwa aly ahl na vita
Yanga haya magroup hayawahusu, maana hamjapangwa hapo
 
Hesabu za figisu za kuwapulizia sumu vyumbani,mpira wa kucheza nje ya uwanja umebaki kwa nyau fc hapa duniani,juzi kwa ujinga wenu mkaingiza hadi mipaka uwanjani,imagine msimu ujao iwapo mtashiriki michuano ya caf halafu mkapangiwa wale wazimbabwe kule kwao lazima walipize yote mliyowafanyia na iko ndio kitawakuta kwa aly ahl na vita
Hahahahahahahahah...Sifa kuu ya Mtanzania ni UNAFIKI, MAJUNGU na UMBEA tu....Endelea kufua nguo za shemeji yako.
 
nyau fc hilo kundi limekaa katika kulipiza kisasi,aly ahl na vita mara ya mwisho mlipocheza nao kwa waliwapiga 5 dar mkaja kuwafunga na wote walilalamika mliwapulizia dawa vyumbani,sasa zile figisu mlizowafanyia hapo dar mtegemee kuzipata mkienda kwao,safari hii kama hamjapigwa 10-10 huko ugenini sijui
Mkuuundu wako pia tuliupulzia pia mbona husemi
 
nyau fc hilo kundi limekaa katika kulipiza kisasi,aly ahl na vita mara ya mwisho mlipocheza nao kwa waliwapiga 5 dar mkaja kuwafunga na wote walilalamika mliwapulizia dawa vyumbani,sasa zile figisu mlizowafanyia hapo dar mtegemee kuzipata mkienda kwao,safari hii kama hamjapigwa 10-10 huko ugenini sijui

Kama hayo malalamiko yao yakikuwa na mashiko na ukweli, kwa nini wasingeyapeleka kunapostahili?
Na kama pengine walipeleka mbana hakukuwa na taarifa za uthibitisho kuwa kweli walipuliziwa hizo dawa vyumbani?
Yaani nyie mautopolo sijui mnashikiwa akili na nani..!?

Tunaona hata baada ya simba kumfunga platnum, kuna waandishi uchwara ambao ni mashabiki wa utopolo wanadae eti simba ushindi wa simba ni nje ya uwanja kwa asilimia 60 sijui 80, wakiambiwa wathibirishe wanajing'ata ng'ata!
Hapo kwenye huo mpangilio hamna cha kisasi wala nini, imetokea tu coincidence zikakutana tena, sasa wewe endelea kutoa mapovu yako kwamba simba itafungwa 10 huko, mwisho wa siku utabaki na mihasira yako tu kama ilivyotokea baada ya platnum kupigwa nne!
Najua hutaki kabisa na hutopenda kuona simba ikisonga kwenye hilo kundi lakini, nikueleze tu utaduwaa na roho yako!
Si ajabu ukaiona simba nusu fainali msimu huu, au hata fainali kabisa sijui utaficha wapi uso wako! Utapasuka kwa hasira aisee...
 
Back
Top Bottom