OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #21
Punguza gongoKila la heri UD Songo piga hao Bodaboda fc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza gongoKila la heri UD Songo piga hao Bodaboda fc
Haina shida, tunashukuru kwa maneno yako ya kejeliKwa backline ile ya simba wakifuzu sjui
Simba akifuzu ntakata gogo hapa Jf kuanzia jukwaa la MMU mpaka jukwaa la siasa huku Kiduku Lilo akifanya kazi ya kuzoa
sio kejeli mkuu mechi mtatambua mapungufu ya usajili baada ya kumtoa Kotei nakushindwa kutafta mbadala sahihi katika nafasi ya defensive midfieldHaina shida, tunashukuru kwa maneno yako ya kejeli
Wale wapo maalum kwa ajili ya Kagera sugar.Sijaona Mzungu first eleven?
Wanga wote mnajulikana
wenzenu vyura fc jana wameruka kiunzi.
leo zamu yenu mbumbumbu fc.