OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #41
Mpira umeanza, Dakika 0 Simba 0-UD 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wauza sura waleSimba hawakuwa na sababu ya kuwaleta wale Wabrazil
hahaaaaaKwa backline ile ya simba wakifuzu sjui
Simba akifuzu ntakata gogo hapa Jf kuanzia jukwaa la MMU mpaka jukwaa la siasa huku Kiduku Lilo akifanya kazi ya kuzoa
Simba inashambuliwa
View attachment 1189667
Kikosi cha Mnyama
Haya wanaJF ziimebaki dakika chache kuelekea mpambano mkali kati ya Simba Sc na UD Songo.
Mtangazaji wako mwandamizi kwa kushirikiana na wadau wote muhimu tunakueletea moja kwa moja kambumbu kutoka uwanja wa Taifa.
Hamasa ya mashabiki ni kubwa sana. Uwanja wa Taifa unaendelea kujaa.
Freekick
MWENYE ONLINE LINK INAYOONYESHA LIVE AWEKE HAPAView attachment 1189667