Kwa backline ile ya simba wakifuzu sjui
Simba akifuzu ntakata gogo hapa Jf kuanzia jukwaa la MMU mpaka jukwaa la siasa huku Kiduku Lilo akifanya kazi ya kuzoa
Umeshaisha Dada. π π π π πJamani pressure inapanda. Mpira haujaisha tu?
Poleni sana
Pole mtani, ndio mpira ulivyoDah! Unbelievable, tumeaga mashindano.
Mtashinda baadae kwenye sports extra ya Clouds fmSiamini kilicho tokea.
Mamamee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpira una matokeo katili sana mammae hhahahahah
Kikosi chote kile kicheze ndondo
Eti Yanga ndio anaenda kimataifa
Usenge sana tumefanya leo.
Manura ni kuuuuuma
Mdomo umeponza kichwa leo Kaka. π π π πMechi imekwisha
Simba 1- UD SONGO 1
KWAHERINI SIMBA
Na kagera sugar wanawasubiri kwa hamuOoh Tutachukua Champions league mara tutafika nusu. Kiko wapi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simba wana laana mwaka huu, wakitaka mafanikio lazima kwanza wamrudishie Mzee Kilomoni hati ya Klabu.
Natafuta njia ya kurudi nyumbani yani?
Leo mmekuwa Barrrdiiiiiii.Aya bana