Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 na usajili wote huo ambao ulilenga mechi za club bingwaKikosi chote kile kicheze ndondo
Eti Yanga ndio anaenda kimataifa
Usenge sana tumefanya leo.
Manura ni kuuuuuma
Anapita kimya kimya leo. 😅😅Dah! Mpira una matokeo ya ajabu sana! Yaani Simba walimaliza mchezo kabla ya mechi! Kilichowakuta ni siri yao. Poleni sana watani.
Hivi yule mwanga aliyesema itapita Simba, Azam na KMC yuko wapi yule!
Dah! Acha tu mkuu huu ni wakati mgumu Sana kwa Wapenzi wa Simba.Nchi imetetemeka
Kwanini mkuu? Wala usiwe na wasi wasi zilishafungwa Brazil, Barcelona , Madrid etc itakua Simba??
Hiyo Yanga imefuzu ila haitofika popote
Vipi matokeoSaa 10 net
Dah! Inaumiza Sana kwa kweli 😔😔 😔😔 😔
Ngoja tukajisajiri zesco unitedLeo mmekuwa Barrrdiiiiiii.
😂😂😂😂Vipi huko nimeshika Pumbu wasiongeze mpaka yanauma
Dah! Acha tu mkuu huu ni wakati mgumu Sana kwa Wapenzi wa Simba.