Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa backline ile ya simba wakifuzu sjui
Simba akifuzu ntakata gogo hapa Jf kuanzia jukwaa la MMU mpaka jukwaa la siasa huku Kiduku Lilo akifanya kazi ya kuzoa
Umeshaisha Dada. 😅😅😅😅😅Jamani pressure inapanda. Mpira haujaisha tu?
Poleni sana
Pole mtani, ndio mpira ulivyoDah! Unbelievable, tumeaga mashindano.
Mtashinda baadae kwenye sports extra ya Clouds fmSiamini kilicho tokea.
Mamamee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpira una matokeo katili sana mammae hhahahahah
Kikosi chote kile kicheze ndondo
Eti Yanga ndio anaenda kimataifa
Usenge sana tumefanya leo.
Manura ni kuuuuuma
Mdomo umeponza kichwa leo Kaka. 😅😅😅😅Mechi imekwisha
Simba 1- UD SONGO 1
KWAHERINI SIMBA
Na kagera sugar wanawasubiri kwa hamuOoh Tutachukua Champions league mara tutafika nusu. Kiko wapi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simba wana laana mwaka huu, wakitaka mafanikio lazima kwanza wamrudishie Mzee Kilomoni hati ya Klabu.
Natafuta njia ya kurudi nyumbani yani?
Leo mmekuwa Barrrdiiiiiii.Aya bana