Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Hahaha OKWI BOBAN [emoji1787][emoji1787][emoji2] huyu jamaa Kila kukicha thread za Yanga mara ooo KMC na YANGA zitaanza kutoka mpira hauna adabu
 
Mkuu hufai kuwa daktari aise,
 
Katika mashabiki wa simba,wewe na manara ndio nawaoneaga huruma sana. Siku tutakukuta umejic wewe jamaa
 
Sawa, tumetolewa lakini tunabakia kuwa timu bora kabisa ukanda huu. Kwenye mpira miujiza hutokea na leo ni moja ya siku hizo!

Simba wamecheza mpira wa level nyingine ila haikuwa siku yao. Deo Kanda ni mtu jamani! Erasto Nyoni ni champion wa penalty!

Yanga tumejitahidi sana kuwa fair this time lakini mmekosa busara, tutalipa mlichofanya leo, tutalipa vibaya zaidi! Tutajaza uwanja against timu yenu ili mjifunze. Tukikutana na nyie zile tano zinarejea! Hapo ndio tutapoza machungu ya kutoka mapema championship.

Poleni wanasimba wenzangu, sometimes mpira una miujiza na leo ni moja ya siku hizo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…