Chairman Lee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,353
- 1,492
Tunakubali kwa moyo mmoja , hamna jinsi wala suruali yani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mjue mpira huwa unadunda. Na hapa wale waliokuzodoa kwenye ule uzi wako wajifunze.Dah! Sina hata la kusema mpenzi, nimevunjika moyo sana na kikosi ambacho tulidhani kitafanya maajabu mwaka huu
THIS IS THIMBA MKO WAPI? [emoji706][emoji706]
MANARA UTAWAAMBIA NINI WATU?
MO DEWJI HELA ZAKO ZA UWEKEZAJI UMEWEKEZA BURE....MANARA ALIKUPIGA TANTARIRA ETI OOOH MWAKA HUU TUNACHUKUA CAF CHAMPIONS LEAGUE...Sasa sijui atakuangaliaje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Katika mashabiki wa simba,wewe na manara ndio nawaoneaga huruma sana. Siku tutakukuta umejic wewe jamaaView attachment 1189667
Kikosi cha Mnyama
Haya wanaJF ziimebaki dakika chache kuelekea mpambano mkali kati ya Simba Sc na UD Songo.
Mtangazaji wako mwandamizi kwa kushirikiana na wadau wote muhimu tunakueletea moja kwa moja kambumbu kutoka uwanja wa Taifa.
Hamasa ya mashabiki ni kubwa sana. Uwanja wa Taifa unaendelea kujaa.
*****
UPDATES
Simba yatupwa nje ya michuano ya Mabingwa Afrika kwa faida ya bao la ugenini waliyoipata UD Songo kutoka Msumbiji.
Mmeanza tenaKwanini mkuu? Wala usiwe na wasi wasi zilishafungwa Brazil, Barcelona , Madrid etc itakua Simba??
Hiyo Yanga imefuzu ila haitofika popote
Acha tusifike popote lakini ndio tulishafuzu hivyoKwanini mkuu? Wala usiwe na wasi wasi zilishafungwa Brazil, Barcelona , Madrid etc itakua Simba??
Hiyo Yanga imefuzu ila haitofika popote
Mimi nililiona hili la kujiamini kupita kiasi maana hakuna aliyekua anazungumzia Simba kupoteza hii mechiNdio mjue mpira huwa unadunda. Na hapa wale waliokuzodoa kwenye ule uzi wako wajifunze.
Ndio kilichobakia Mtani. Teh tehNgoja tukajisajiri zesco united
Ni kujifariji tuu,timu zote zilizoingia robo fainali last season zinasonga mbele kasoro simba,imetia aibu nchi na soka letuHasira zote tunaamishia kwenye ligi na FA lazima tuchukue makombe yote
Nakaziaaa! Kikubwa washatangulia. 😀😀Acha tusifike popote lakini ndio tulishafuzu hivyo
sijaanza kuangalia mpira jana wala juziUmenusurika.