joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Yaani nina raha mpaka basi. Haji alijiona yeye ndo husababisha ushindi.Umeshaisha Dada. 😅😅😅😅😅
ngoja ligi ianze tuone nani best kati ya bingwa wa kihistoria wa nchi hii na simba maneno mengi,nyie lazma mkaeaWe are still the best, ila narudia tena Deo Kanda ni mtu jamani!!!
Acha wakacheze huko shenziMikia wanaenda kucheza shirikisho??? Naota eeehhh
Eti anawajibika kwa matokeo wakati ameshatolewa nafasi yakeYaani nina raha mpaka basi. Haji alijiona yeye ndo husababisha ushindi.
Mdomo uliponza kichwa[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani nina raha mpaka basi. Haji alijiona yeye ndo husababisha ushindi.
Tena ulio na maneno ya shombo.Marehemu alikuwa na Mdomo sana
Aisee leo nitalala mapema sana, daah siamini macho yangu
NB:timu bora imetolewa Shadeeya
NiacheMmeanza kutafuta mchawi, kubalianeni na matokeo
Vyovyote iwavyo tumetolewa mkuu, historia itaandika kua Simba ilitupwa nje ya CCL 2019 na UD Songo ya Msumbiji periodMkuu Simba haijapoteza mechi ya leo!
kinachotakiwa watuombee dua tufike mbali mwakani wapate lift,maana fa atachukua azam,mshindi wa pili kmc,sasa yeye ajitahidi wacheze fainal faYaani nina raha mpaka basi. Haji alijiona yeye ndo husababisha ushindi.
Vipi matokeo jamani
Kabisa. Anaongea halafu kama msemaji kutwa kuisema team nyingine.Poleni sana! Muhimu wakati mwingine basi mjitahidi kupunguza maneno. Na ikibidi yule msemaji wenu yuleee; mpigeni chini maana anachangia pa kubwa kwenye kuiharibu timu. Mpira unachezwa uwanjani, na siyo mdomoni.
Vyovyote iwavyo tumetolewa mkuu, historia itaandika kua Simba ilitupwa nje ya CCL 2019 na UD Songo ya Msumbiji period