Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Poleni sana! Muhimu wakati mwingine basi mjitahidi kupunguza maneno. Na ikibidi yule msemaji wenu yuleee; mpigeni chini maana anachangia pa kubwa kwenye kuiharibu timu. Mpira unachezwa uwanjani, na siyo mdomoni.
Kabisa. Anaongea halafu kama msemaji kutwa kuisema team nyingine.
 
Samahani lakini..
20190329_211815.jpeg
 
Back
Top Bottom