Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]We are Simba...This is Simba...miaka kumi mfululizo sisi ndio tutakuwa mabingwa....back to back..IGA UFE ...hii ni level nyingine...sisi ndio timu bora tukifuatiwa na Azam..nawachukia mno gongowazi..Kambi yetu ni South Africa na siyo Morogoro ambako wachezaji kambini wanagombea chips na mihogo...tutaanza kuokota mataji kama ngao ya jamii...target yetu mwaka huu ni kufika nusu fainali kwenye michuano ya CAF..
Hatuwezi pigwa na wachovu awa
Si unaona yaliyotokea Shadeeya? Tatizo Wabongo tumezoe kudanganyana na kusifiana uongo matokeo yake tunajihisi tuna uwezo kuwazidi wengine kumbe tunatakiwa kuongeza jitihada
Sijui kwanin walimludisha uyu jamaaKwa kweli Ajibu ana gundu
Hahahaha aseeMtu kaaga, nami naaga hapa, ngoja nikapate mvinyo kidogo kusherehekea ushindi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Leo nina raha sana, asanteni simba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]my ribsKwa kweli mimi kama Simba Damu tangia babu wa mama na babangu, nashukuru kwa kweli manake tumekufa kishujaa kuliko tungejifanya ujuaji halafu tukaenda kula gwala gwala mwisho wa safari. Sisi ndio Simba bhana! Tuna pua kali za kunusa hatari iliyo mbeleni kuliko ilivyo kawaida!! Mwaka huu CAF wamtafute mwingine wa kwenda kula hamsa hamsa, lakini sio sisi shubamiti zao!!!
Kwanza tulishanusa nia ovu ya CAF ya kutaka tumpandishe pandishe ndege Kibabu chetu Kagere ili achoke mapema wakatu keshajichokeail!
Usimsahau bashite!Kwa kweli Ajibu ana gundu
Weeeeeh, doh huo Msiba kwa Watani wakoSimba katolewa Champions league Mtani.
Na tatizo watu wanapenda zile kauli sukari tu Ses yaani ukiwa mkweli wanakuona mamluki.Si unaona yaliyotokea Shadeeya? Tatizo Wabongo tumezoe kudanganyana na kusifiana uongo matokeo yake tunajihisi tuna uwezo kuwazidi wengine kumbe tunatakiwa kuongeza jitihada
Haya ni maneno ya kiswahiliswahili ....Simba walizngua tu walipo mludisha ajibu
Imekuaje mkuu? [emoji23] [emoji23]Hatuwezi pigwa na wachovu awa
Hakuna babaa [emoji23] [emoji23]Simba inashinda Goli tatu na kuchukua point tatu, kuna anaebisha??
Yaah! Na lazima tumtanie azidi kupata machungu. 😂😂Weeeeeh, doh huo Msiba kwa Watani wako
Ile timu kiujumla itawapiga wengi sio kwa kujiamini kule.Kapteni wa UD Songo anapoteza sana muda hapa afrika...