Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kuna aibu kubwa kama zile 5G?Mtani mmebaki wananchi sasa. Msililetee taifa aibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna aibu kubwa kama zile 5G?Mtani mmebaki wananchi sasa. Msililetee taifa aibu.
Kumbukeni KAGERA hajashuka daraja,bado yupo ligi kuu!Ndio tunaenda kujifariji kwenye FA na ligi tutachkua ubingwa bila kufungwa mech hata moja (unbeatean)
Ndip uhalisia huo ndugu yanguUmeona eeh.....
Hasa watu waliopenda Simba kwa kushinda tuuu, mpirani lolote linatokea lakini bado sisi ni bora!Ni muda wa kushikana uchawi...
Kabisa. Anaongea halafu kama msemaji kutwa kuisema team nyingine.
Kwanini mkuu? Wala usiwe na wasi wasi zilishafungwa Brazil, Barcelona , Madrid etc itakua Simba??
Hiyo Yanga imefuzu ila haitofika popote
Mishahara mikubwa kwa ajili ya kupambana na Namungo FC hahahahahahaahhaMo ataweza endesha timu? Mishahara ni mikubwa sana...
👊👊👊Washabiki wa Simba bana! Mnatimu bora ila mjifunze mpira lolote linatokea! Mnaanza maneno mengiiiii, mara wabrazil mara Ajib! Hivi tuwe wakweli kikosi kilichopita ni sawa na hiki? Hiki kikosi ni bora ila mpira ndio ulivyo!
msalimie halimaNiacheeee
Katoa statement ya kishamba kinoma ambayo sikutarajia. Yeye badala ya kuwapa moyo washabiki nae anakuwa kama mashabiki maandazi bana. Yanga tutawatia aibu siku tukikutana, aibu ambayo hamtaisahau! 5-0!Kuna watu ni wajinga sana hasa huyu HAJI MANARA,timu imetolewa watu tumepata fedheha kubwa anakuja na umbumbumbu wake anatuambia eti Nipo tayari kuwajibika kwa matokeo haya Yeye sio Kocha,Sio mchezaji, anataka kuwajibika vipi na umbumbumbu wake,Asituvuruge.
Hahaha itabidi tuupate ule ule tuuedit[emoji41][emoji41][emoji1787][emoji1787]Anzisha kama walivyofanyaga yanga tuliposuluhu na Rollers. [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]