Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aksante mtani.Pole sana
Ngoja tujifariji tu na maneno hayoPoleni sana Mikia. There is always next time.
Historia haisemi timu ilio cheza vizuri bali ilio shinda. Hahaa kujifaliji hukuDeo Kanda ni mtu! Okwi hatii mguu pale, tuwe wakweli sema tumetolewa ila timu ni nzuri sana.
Moderator tunakuomba uweke "Live" iwe nyekundu
Amini tu Mtani ndio mpira huo. Mwenzio OKW BOBAN SUNZU hana hamu na uzi wake.Aisee leo nitalala mapema sana, daah siamini macho yangu
NB:timu bora imetolewa Shadeeya
Mtu kaaga, nami naaga hapa, ngoja nikapate mvinyo kidogo kusherehekea ushindi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Leo nina raha sana, asanteni simbaMtani nini kimetokea huko mjini
Cc. Sesten ZakazakaChama langu Simba hatari inakuja tuchukue tahadhari
Nimekaa mara fikra za woga zimenijia. Nahofia timu yangu Lunyasi wa Msimbazi kuaga mapema kwenye michuano ya CCL. Naomba iwe ni ndoto tu Kumbuka kwenye mchezo wao wa kwanza wa raundi ya kwanza walitoka sare ya bila kufungana AS SONGO ya Msumbiji Ndugu zangu sare ya bilakufungana ugenini ni...www.jamiiforums.com
Mo ataweza endesha timu? Mishahara ni mikubwa sana...Kwa kufungwa huku sijui kama huko Msimbazi kutakuwa na maelewano.
Ni muda wa kushikana uchawi...
Dah! Kweli? [emoji2959][emoji2959]Mtu kaaga, nami naaga hapa, ngoja nikapate mvinyo kidogo kusherehekea ushindi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Leo nina raha sana, asanteni simba
Simba katolewa Champions league Mtani.Mtani nini kimetokea huko mjini