Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Timu itapata hasara msimu huu ila ndo matokeo yalivyo
 
 
Kutegemea uwanja wa nyumbani kushinda mi ujinga sana
 
Waliowaleta walikosea hata wao wanajua walikosea waleta
 
Washabiki wa Simba bana! Mnatimu bora ila mjifunze mpira lolote linatokea! Mnaanza maneno mengiiiii, mara wabrazil mara Ajib! Hivi tuwe wakweli kikosi kilichopita ni sawa na hiki? Hiki kikosi ni bora ila mpira ndio ulivyo!
 
Mtu kaaga, nami naaga hapa, ngoja nikapate mvinyo kidogo kusherehekea ushindi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Leo nina raha sana, asanteni simba
Dah! Kweli? [emoji2959][emoji2959]
 
  • Thanks
Reactions: ram
Back
Top Bottom